Mwanafunzi wa uhandisi asaidia kuunda Barakoa,Tunisia
Mwanafunzi wa uhandisi ,Taha Grach anasaidia nchi ya Tunisia kupambana na kuenea kwa Covid 19 kwa kutengeza barakoa za muundo wa 3D. Pamoja na wenzake watano, wamezindua njia ambayo wanaunda barakoa hizi kwa dakika mbili tu na sio dakika 90 kama awali. Tembelea tovuti ya bbc kwa habari Zaidi.
