wamiliki wa paka wajimizwa kuwafungia paka wao

Maelezo ya sauti, wamiliki wa paka wajimizwa kuwafungia paka wao

Madaktari wa mifugo wamependekeza wamiliki wa paka kuwafungia wanyama wao nyumbani ili kusaidia kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.Lakini Chama cha Mifugo cha Uingereza kimesema wamiliki wasiwe na wasiwasi kwani hakuna kisa hata kimoja cha binadamu kuambukizwa virusi hivyo na paka au mbwa. Unawasiwasi kuwa wanyama huenda wakaanza kupata virusi hivi?