Mchezaji Kylie Walker Kuadhibiwa na Manchester City

Maelezo ya sauti, Mchezaji Kylie Walker Kuadhibiwa na Manchester City

Kyle Walker anakabiliwa na hatua za kinidhamu kutoka Manchester City baada ya kuripotiwa kuvunja sheria za kujifungia na badala yake kuweka sherehe iliyowahusisha wafanyikazi wawili wa ngono. Walker, ameomba msamaha na kuwasihi watu "wakae nyumbani, wakae salama" wakati huu wa janga la coronavirus.