Chuo kikuu cha Hull Chabuni Barakoa

Maelezo ya sauti, Chuo kikuu cha Hull Chabuni Barakoa

Wanafunzi wa shule pamoja na vyuo vikuu,Uingereza vinasaidia kwa kutoa ujuzi walionao kuwatengenezea wafanyikazi wa afya vifaa vya kujilinda wakati huu wanapokabiliana na janga la corona. Chuo kikuu cha Hull kinatumia mfumo wa teknolojia wa 3D kufanya hivyo.