Je, unatumaini kuwa bahari zitakuwa safi?

Utafiti mpya wa kisayansi unasema kuwa licha ya bahari kufahamika kama jaa la taka kwa miongo kadhaa,juhudi za kusafisha zimeanza kuzaa matunda kote duniani. Watafiti hao wameendelea kusema kuwa hatua hizi huenda zikaleta mafanikio makubwa katika muda wa miongo mitatu. Je, unamatumaini kuwa bahari zetu zitasafika? tupe maoni yako kwenye ukurasa wa Facebook, wa BBCSwahili.