Kipchoge aelezea ugumu wa kufanya mazoezi
Bingwa wa michezo ya Olimpiki nchini Kenya Eliud Kipchoge anajaribu kufanya mazoezi wakati huu wakutotangamana na watu . Janga la Corona limesababisha kambi ya mazoezi kufungwa. licha ya michezo ya Olimpiki kuahirishwa bado anahakikisha atakuwa imara mwaka ujao. Mtizame akieleza ilivyo vigumu kufanya mazoezi peke yako.
