Bob atimiza miaka 112
Bob Weighton, ambaye ndio mkongwe mwenye umri mkubwa zaidi duniani ametimiza miaka 112 hii leo. Alizaliwa mwaka wa 1908, akiwa na miaka sawa na klabu ya soka ya Inter Milan.
Je unamjua mtu yeyote katika eneo lako aliye na umri mkubwa hivi?..sema nasi
