Hakuna Marufuku Uswizi

Maelezo ya sauti, Hakuna Marufuku Uswidi

Huku mataifa mengine barani ulaya yakizuia watu kutoka nje ili kupambana na kuenea kwa virusi vya corona, taifa moja limefanya kinyume kabisa baada ya kumaliza msimu mkali wa baridi, taifa la Uswizi limeruhusu watu kutoka nje wakikutana na kutembeleana kama kawaida.