Ungependekeza kufungwa kwa saluni na vinyozi?
Australia imebadilisha uamuzi wa kuweka muda wa dakika 30 kwa saluni kumhudumia mteja mmoja kufuatia malalamiko mengi yaiyotolewa na wahusika.
Kufuatia uamuzi huo sasa wakikutwa wamepitiliza muda huo basi sheria itahusika kwa mteja na msusi mwenyewe au kinyozi.
Je, adhabu kwa wahudumu hawa wa saluni na vinyozi iwe ni kufungiwa kwa saluni zao au vipi?
