Mwanaume mmoja akamatwa kwa kuhatarisha maisha ya watu
Mwanaume mmoja nchini Ujerumani mwenye umri wa miaka 51 amekamatwa kwa tuhuma za kujaribu kutekeleza mauwaji baada ya kudaiwa kufungua misumari iliowekwa kwenye barabara ya reli kwa nia ya kusababisha ajali.