Michezo yapigwa marukufu kwa sababu ya corona
Waziri mkuu wa Italia Giussepe Konte atangaza marufuku ya shughuli zote za michezo nchini humo. Marufuku hio imewekwa hadi Aprili tarehe 3 kufuatia kuenea kwa virusi vya corona,hii ni pamoja na Serie A lakini sio michuano ya vilabu na mechi za timu ya taifa.
