Pix aomboleza pamoja na familia
Mbwa mmoja kwa jina Pix amekua akimsaidia Gracie kupata utulivu baada ya kifo cha mjombake. Mbwa huyo aliyeletwa na kituo kimoja kinachoshughulikia maswala ya mazishi huko Kent,Uingereza, huhudhuria mazishi na kuwapa familia husika Amani wanapoomboleza.
