Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa

Maelezo ya sauti, Jamaa afukuliwa miezi miwili baada ya kuzikwa

Familia moja nchini kenya imefukua mwili wa jamaa yao kutekeleza agizo lake la kuzikwa na pakiti ya sigara pamoja na peremende anzozipenda. Familia ya Kenga Kalema aliekuwa na umri wa miaka 63 ambaye alizikwa miezi miwili iliopita pia walikwenda kinyume na maagizo ya marehemu kwa kumzika ndani ya sanduku,jambo ambalo hakulitaka.