OSCARS 2020: Filamu ya Korea 'Parasite' yaweka historia katika tuzo za Oscars

Filamu ya lugha ya kigeni kwa jina Parasite imeshinda tuzo ya picha bora zaidi kwenye tuzo za Oscars kwa mara ya kwanza .

Bong Joon-ho pia ameshinda tuzo ya Mkurugenzi Bora wa tuzo hiyo. Tuzo ya muigizaji bora wa kike imemwendea Renee Zellwegger kwa kuigiza filamu ya Judy Garland.