Je, unauamini mtandao wa Facebook kuweka deta yako salama?
Mwandishi wa vitabu Stephen King amejiondoa kwenye mtandao wa Facebook, huku akisema alikuwa amechoka na wingu la taarifa za uongo kwenye vitambulisho vya kisiasa na kwamba hana uhakika kuwa mitandao ya kijamii imewahakikishia watumaiji wake usiri. Je, unaamini kuwa deta yako ya siri iko salama katika mitandao ya kijamii? Wasiliana nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili
