Kwanini Uber imezuia madereva 240 nchini Mexico?

Maelezo ya sauti, Mbona Uber Imezuia madereva 240 nchini Mexico?

Uber imefunga akaunti za mamia ya madereva wake huko Mexico baada ya kugundua kuwa madereva wao wawili walibeba abiria waliokuwa wameambuklizwa na homa ya virusi vya corona. Kampuni hiyo imesema imesimamisha akaunti 240 zikiwemo za madereva hao wawili..

tupatie maoni yako kuhusu hatua ya kampuni ya Uber