Uchafuzi wa maziringira: Kwanini madereva wamepuuza marufuku ya kuendesha magari mjini Milan?
Polisi wa Italia wametoa faini 162 katika kipindi kisichozidi saa tatu kwa watu waliopuuza marufuku ya kuendesha gari mjini Milan.
Marufuku hiyo inaanza saa nne mchana hadi jioni kama njia ya kujaribu kumaliza shida ya uchafuzi wa hewa jijini humo.
Je, kwanini watu wengi hupuuzilia mbali sheria za serikali?