Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
je, unadhani wazee wanaweza kuzeeka hadi kukosa maana
Tembelea tovuti ya bbc- uone simulizi ya jamii ya kabila la watu walio wachache mashariki mwa Paraguay jinsi walivyowauwa watu waliodaiwa kuwa wazee na kutokuwa na faida yoyote kwa jamii hiyo. Wazee walisaidia kufanya kazi za nyumbani na kuwachunga watoto lakini wakati wanazeeka sana kuwa hawana maana, hivyo basi hakuna huruma dhidi yao.. Je wazee wanaweza kuzeeka hadi kutokuwa na maana?