Malawi yakubali nywele aina ya 'Rasta' kwa wanafunzi
Mahakama kuu nchini Malawi imeamuru serikali kukubalia wanafunzi wa Rastafarian kukubaliwa kuwa na nywele aina ya rasta shuleni. Hii ni baada ya mwanfunzi mmoja kuzuiwa kujisajili shule kwa sababu ya nywele zake. Nini maoni yako kuhusu nywele ndefu za rasta kwa watoto wa shule?
