Kundi la nzige latatiza ndege kutua
Kundi la wadudu wanaoaminika kuwa nzige, walilazimisha ndege ya abiria ya Ethiopia kugeuza mkondo ilipokuwa inataka kutua kutoka Djibouti kuelekea Dire Dawa. Je, unafahamu njia za kuwadhibiti nzige? Tuwasiliane kwenye Facebook BBC Swahili
