Wazazi wanaofanya kazi za ofisini majumbani majira ya usiku
Utafiti umebaini kwamba wazazi hupatwa na msukumo wa kuangia barua pepe zao wanarudi majumbani. Utafiti huo umeonyesha asilimia 44 ya wazazi hufanya kazi hata majira ya usiku na kusahau kuwa na wakati na watoto wao.