Mtoto afariki dunia baada ya kuganda kutokana na baridi kali.

Waendesha mashtaka nchini Urusi wamefungua kesi ya uhalifu baada ya mtoto mdogo aliyeachwa barazani na wazazi wake kufariki dunia baada ya kuganda katika msimu huu wa baridi kali.

Nini maoni yako kuhusu uhalifu aina hii dhidi ya mtoto mchanga?