Je, unauelewa wowote kuhusu matibabu ya wanyama?

Maelezo ya sauti, Mtoto wa sokwe afanyiwa upasuaji wa macho

Kundi la Madaktari pamoja na madakatari wa wanyama huko san Diego wamefanya upasuaji wa macho kwa uliofanikiwa kwa gorilla. Gorilla huyo wa miaka mitatu alikuwa anaupofu katika macho yake ya mkono wa kushoto baada ya jeraha.

Je, unauelewa wowote kuhusu matibabu ya wanyama?

sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili