Roboti ya paka kuhudumu kama muhudumu huko Las Vegas

Maelezo ya sauti, Roboti ya paka kuhudumu kama muhudumu huko Las Vegas

Roboti ya mfumo wa paka iliyoundwa kusafirisha sahani za chakula kwa wateja imezinduliwa na kampuni ya teknolojia ya CES huko Las Vegas. BellaBot, ni roboti iliyojengwa na kampuni ya China ya PuduTech.

Unadhani roboti zitawanyang’anya watu kazi zao?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili