Wanakeketwa kudanganya kuwa mabikira

Maelezo ya sauti, Wanakektwa kudanganya kuwa mabikira

Baadhi ya wanawake nchini Sudani wanaamua kupitia ukeketaji wa kike mwezi mmoja au miwili kabla ya kufunga harusi ili kudanganya kuwa wao ni mabikira bado. Wanafanya hili hata ingawa wengi wao tayari huwa wamekektwa walipokuwa wasichana - jambo ambalo kawaida hufanyika kati ya umri wa miaka nne na kumi. Je! Mila aina hii zinawezaje kukomeshwa?