Mhadhiri katika chuo kikuu cha Abuja amefutwa kazi

Maelezo ya sauti, Mhadhiri katika chuo kikuu cha Abuja amefutwa kazi

Chuo kikuu cha Abuja huko Nigeria kimemfuta kazi mhadhiri mmoja kufuatia madai kutoka kwa mwanafunzi mmoja wa kike kuwa alimnyanyasa kingono. Mwanafunzi huyo anasema kuwa mhadhiri huyo alimtaka wafanye tendo la ngono kisha ampe alama za juu katika mtihani. Je, vyuo vikuu vinaweza kuchukua hatua zipi kumaliza unyanyasaji wa kijinsia?