Mvinyo 'Mkubwa' zaidi duniani aina ya Whiskey wauzwa
Pombe iliyo kwenye chupa kubwa ziaid ya Whiskey imeuzwa kwa mnada kwa pauni elfu kumi na tano. Chupa hiyo ya lita mia moja na tano imekaa kwa miaka kumi na nne na ina urefu wa mita moja nukta tano na uzito wa kilo mia moja themanini. je, unaweza kutumia kiasi kikubwa cha hela naman hii kwa mvinyo? Sema nasi kwenye ukurasa wa facebook, bbcnewsSwahili.
