Migahawa Saudi Arabia haitahitajika tena kuwa na viingilio tofauti.

Maelezo ya sauti, Migahawa Saudi Arabia haitahitajika tena kuwa na viingilio tofauti.

Migahawa huko Saudi Arabia haitahitajika tena kuwa na viingilio tofauti vya wanaume na wanawake. Hatua hii ni ya hivi karibuni katika juhudi za kuleta mageuzi ya kijamii katika eneo hilo. Je, ni tamaduni zipi ambazo ungependa zitupiliwe mbali katika jamii yako? wasiliana nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili