Hong Kong: Maandamano yalivyowaathiri vijana kiakili

Maelezo ya sauti, Hong Kong: Maandamano yalivyowaathiri vijana kiakili

Waandamanaji vijana wameongezeka Hong Kong huku mamia wakipatikana katika chuo kikuu cha ufundi.

Sasa watafiti wanaonya kuwa huenda maandamano yakawa na athari kwa vijana wengine.

Unakubaliana na utafiti huu?