Kijiji cha wajinga chabadilishwa jina

Wanakijiji wa Kaskazini Nigeria wanasherehekea kubadilishwa jina kwa kijiji chao kutoka kwa jina la Unguwar Wawaye lililomaanisha kijiji cha wajinga hadi Yalwar Kadana kumaanisha eneo la mazao mengi.