Mwanamuziki nchini Marekani Jessye Norman amefariki akiwa na miaka 74
Mwanamuziki wa nyimbo aina ya Opera nchini Marekani- Jessye Norman amefariki akiwa na miaka 74 aliyesifika sana kwa kuimba kwa sauti ya soprano.Ni mmoja wa watu wachache walio na asili ya Kiafrika kupata mafanikio katika fani hii ya Opera.
