Neymar kufika mahakamani nchini Uhispania
Mshambuliaji wa brazil Neymar anatarajiwa kufika mahakamani huko Uhispania kwa kiuka mkataa ya mkataba wake wa madola ya mamilioni na klabu yake ya zamani ya Barcelona. Mzozo huo ulianza mwaka 2017 pale Neymar alipoihamia PSG baada ya mwaka mmoja tu kuwa na Barcelona.
