Jina la filamu mpya ya James Bond latangazwa
Jina lililosubiriwa kwa muda mrefu la filamu ya James Bond hatimaye limetengazwa. Filamu hiyo itaitwa No Time To Die - na itamuhusisha muigizaji mkuu Daniel Craig kama James Bond kwa mara ya mwisho.
Je , ni filamu gani ya James Bond hukufurahisha?
Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com
