Kichekesho cha mboga kilichowafurahisha wengi nchini Uingereza

Maelezo ya sauti, Kichekesho cha mboga kilihowafurahisha wengi nchini Uingereza

Kipindi cha ucheshi cha gag ndicho kipindi kilichowafurahisha wengi katika tamasha ya kubwa ya Edinburgh Fringe huku kichekesho cha mboga kiliebuka kuwa kichekesho bora zaidi.

Je, ni kichekesho gani ambacho umekutana nacho na huwezi kukisahau?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com