Macho ni dawa ya mwewe kutokuibia chakula

Maelezo ya sauti, Macho ni dawa ya mwewe kutokuibia chakula

Imebainika kuwa siri ya kulinda chakula chako kutoka kwa mwewe unapokuwa mahali wazi, ni kuwaangalia mwewe hao macho kwa macho bila kupepesa macho. Wanasayansi wanasema mwewe hawa wanaweza kuiba chakula cha mtu tu aliyezubaa?

Ushawahi kuwa kwa sherehe ukaibiwa chakula na mwewe?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com