Tecknolojia mpya kuzindiliwa kuwadhibiti wavutaji sigara za kielectroniki
Kesi imeanza kusikizwa ya iwapo sigara za kielectroniki maarufu kama e-cigarete zinaweza kuunganishwa na simu aina ya android ili ziweze kudhibiti kiwango cha moshi kutoka kwa sigara hizo. Pia inasemekana uzinduzi huo utamfanya anayevuta sigara kupata moshi huo peke yake.
