Dunia ya ukaribisha mwaka mpya kwa njia tofauti

Watu wameukaribisha mwaka mpya wa 2019 kwa njia tofauti. Raia nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo bado wanasubiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 30 mwaka 2018.

Je, wewe umeupoke vipi mwaka huu mpya?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com