Je, ni nini chanzo cha vurugu za Amhara nchini Ethiopia?
Je, ni nini chanzo cha vurugu za Amhara nchini Ethiopia?
Vikosi vya serikali nchini Ethiopia vimekuwa vikipigana na wanamgambo wa Amhara katika wimbi jipya la ghasia.
Ingawa hali ya utulivu imerejea katika baadhi ya miji mikubwa, mapigano yanaripotiwa katika miji midogo.
Ni nini chanzo cha wimbi jipya la mapigano, na ni nini athari?
Mwandishi wa BBC Anthony Irungu anaeleza.



