Tazama: Mafunzo kwa vitendo kukabili changamoto ya ajira Tanzania
Tazama: Mafunzo kwa vitendo kukabili changamoto ya ajira Tanzania
Katika kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa chu0 kikuu nchini Tanzania, Chuo kikuu cha Stella Maris kilichopo mkoani Mtwara kinanatoa mafunzo maalumu ya ubanguaji na uchakataji wa korosho kwa wanafunzi wake ili kuwajengea uwezo wa kujiajiri wakiwa bado masomoni n ahata baada ya kuhitimu.
Licha ya mafunzo haya kwa wanachuo, mradi huu pia unatoa huduma kwa wakulima walio maeneo ya jirani ambao wanaona ni njia rahisi ya ubanguaji na ukaushaji.
Eagan Salla alikuwa mkoani Mtwara na kutuandalia taarifa hii




