Kwanini Nasa inakigonga chombo hiki kwenye miamba angani?

Maelezo ya video, Kwanini Nasa inagongesha chombo hiki kwenye miamba angani?
Kwanini Nasa inakigonga chombo hiki kwenye miamba angani?
nasa

NASA inachunguza namna ilivyo vigumu kuzuia chombo chake kugongana na mwamba unaofahamika kama Dimorphos. Shirika hilo linasema kuwa mwamba huo kwa sasa hauko kwenye njia ya kugonga Dunia, wala jaribio hilo halitatupeleka katika mwelekeo huo kimakosa.