'Wasiwasi wangu mkubwa ni kwa binti yangu, inamaana tutakufa?'
'Wasiwasi wangu mkubwa ni kwa binti yangu, inamaana tutakufa?'
Kufuatia hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha ufadhili kwa baadhi ya mashirika ambayo pia yamekuwa yakihusika katika usambazaji wa dawa za kufubaza Virusi vya (VVU) Barani Afrika, hatimaye baadhi ya watu wanaoishi na virusi hivyo wameonesha wasiwasi wao kupata dawa hizo hivyo kuitaka serikali kuona umuhimu wa upatikanaji endelevu wa dawa hizo ili kuyanusuru maisha ya watu hao.
Martha Saranga amezungumza nao na kutuandalia taarifa hii.



