'Kwa siku nilikuwa nachinja ng'ombe tatu, sasa hivi hata mmoja simalizi'
'Kwa siku nilikuwa nachinja ng'ombe tatu, sasa hivi hata mmoja simalizi'
'Kwa siku nilikuwa nachinja ng'ombe tatu, sasa hivi hata mmoja simalizi' Kwa takribani wiki mbili zilizopita serikali ya Congo iliamuru kufungwa kwa mpaka kati ya nchi hiyo na Rwanda kuanzia saa tisa alasiri. Hii imekuja baada ya Congo kuituhumu Rwanda kuwa inaunga mkono kundi la waasi la M23,shutuma ambazo Rwanda imekuwa ikikanusha Mzozo huo baina ya nchi hizi mbili umesababisha kukwama Kwa shughuli za biashara ambazo huwa zinashamiri baina ya wakazi wa miji hiyo Mwandishi wa BBC Yves Bucyana amefika Katika mji wa Rubavu na kutuandalia taarifa hii.



