Mtu Sanamu: kutana na kijana wa DRC mwenye kipaji cha kujigeuza kuwa kama sanamu
Mtu Sanamu: kutana na kijana wa DRC mwenye kipaji cha kujigeuza kuwa kama sanamu
Katika jiji la Kinshasa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuna kijana mwenye kipaji cha kujigeuza kuwa kama sanamu na kusimama kwa muda wa karibu saa kumi bila kusonga.
Mwandishi wetu Mbelechi Msochi amekutana na kijana huyo kwa jina Mutu Ekeko yaaani mtu sanamu na kutuandalia taarifa hii.