Tazama: 'Hii sio ngoma bali ni dhikiri'
Tazama: 'Hii sio ngoma bali ni dhikiri'
Kikundi maarufu cha ngoma cha Twalikadiria maarufu kwa jina la Chunda Mkoani Morogoro kinaendelea kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na mtindo wake wa kuimba na kucheza ngoma tangu mwishoni mwa miaka ya 90
Kikundi hiki kinaundwa na wanaume tupu na hakuba ngoma yoyote au ala yoyote ya muziki inayotumika zaidi ya kukita miguu chini na mpangilio wao wa sauti.
Video: Eagan Salla



