Hiki ndicho kikosi kipya cha Dira ya Dunia TV

Maelezo ya video, Hiki ndicho kikosi kipya cha Dira ya Dunia TV
Hiki ndicho kikosi kipya cha Dira ya Dunia TV

Dira Ya Dunia TV imekuwa ikikuletea taarifa kuu tangu mwaka 2012. Na wakati dunia inabadilika, nasi hatuna budi kufanya hivyo. Kuanzia Jumatatu Juni 5, Dira ya Dunia TV itakuwa inakujia mubashara kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya, hiki ndicho kikosi kipya cha Dira ya Dunia TV

@roncliffeodit

@frankmavura

@penda.agnes

@elizabethkazibure

@pmwangangi_

@maryamdodoabdullah