Gharama ya maisha: Je kuna njia ya kujiondoa katika mzozo?

Maelezo ya video, Gharama ya maisha: Je kuna njia ya kujiondoa katika mzozo?
Gharama ya maisha: Je kuna njia ya kujiondoa katika mzozo?

Mamilioni ya watu duniani wanaathiriwa na gharama za juu za chakula na mafuta na wanawasi wasi kuhusu kupanda hata zaidi kwa bei.

Lakini je kuna chochote ambacho serikali zinaweza kufanya ili kuondokana na mzozo huu?

Tunaangalia uwezekano wa suluhu tatu na kubaini ni kwanini ni vigumu kuepuka mtego wa gharama ya maisha.