Tazama: Iran ilivyorusha makombora kuelekea Tel Aviv
Tazama: Iran ilivyorusha makombora kuelekea Tel Aviv
Makombora yamerushwa kutoka Iran kuelekea Israel, jeshi la Israel linasema katika taarifa.
Kanda za video zinaonyesha misururu ya makombora hayo juu ya anga ya Tel Aviv.