Mashabiki wa Kombe la Dunia wanavyopenda mtindo wa mavazi ya Qatar

Maelezo ya video, Mashabiki wa Kombe la Dunia wanavyopenda mtindo wa mavazi ya Qatar
Mashabiki wa Kombe la Dunia wanavyopenda mtindo wa mavazi ya Qatar
mm

Mashabiki wa soka kutoka ulimwenguni waliofika Doha, Qatar 2022, kuunga mkono timu zao wamevutiwa na mavazi ya kitamaduni ya Waarabu. Raia mmoja wa Qatar, ambaye familia yake imefanya kazi katika mavazi ya nchini humo kwa miongo kadhaa, alitupa muongozo wa jinsi mitindo imeshamiri katika mashindano hayo.