Zao la ufuta limebadilisha vipi maisha ya wakulima wa Tanzania?
Zao la ufuta limebadilisha vipi maisha ya wakulima wa Tanzania?

Tanzania imeendelea kuwa moja ya nchi 10 bora duniani kwa uzalishaji wa ufuta na ya tatu Afrika kwa muongo mmoja uliopita.
Ikizalisha zaidi ya tani 600,000 kwa mwaka, inajivunia mbegu zake za asili zilizobuniwa na wataalamu wazawa ikiwemo Lindi 2002.
Lakini kwa namna gani zao hili limebadilisha maisha ya wakulima? Yusuph Mazimu ametuandalia taarifa zaidi



