Uchaguzi wa Kenya: TikTok na upotoshaji
Uchaguzi wa Kenya: TikTok na upotoshaji
TikTok ni mojawapo ya majukwaa maarufu ya mitandao ya kijamii miongoni mwa wapiga kura vijana lakini jukumu lake katika kinyang'anyiro cha urais nchini Kenya linakwenda bila kuchunguzwa.
Mwandishi wa BBC Elizabeth Kazibure anaangazia jinsi inavyofanya kazi katika malumbano ya kisiasa kati ya wagombeaji wakuu wa urais.
Kamera: Anthony Irungu
Uhariri: Suniti Singh
Video iliyotayarishwa na BBC Monitoring na BBC Africa



